Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Tunalia jikoni?
Asante sana
mbona mchele kama kitumbo
Kumbe weye wajua kupika nawe...mashaallah Kijana
Yakhee sisi watu wapwani, hakuna asiyejua kupika. Karibu urojo na juice ya ukwaju. Pasaka njema kwakoKupika ni life skill iliyo essential.
Wewe hujui kwani?
Wali na mtindi huwa nakula mama watoto akisafiri sababu ya uvivu wa kupika.