Karibuni katika biashara ya mahindi; Nahitaji mnunuzi nifanye kazi naye

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
306
Reaction score
490
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine, naombeni kazi ya kuwakusanyia , ,....enyi wanunuzi, Nitafuteni
0755835012
 
Usemi uko wapi, uweki mawasiliano mbona mnatumia akili kiduchu hivi.....?
 
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine, naombeni kazi ya kuwakusanyia , ,....enyi wanunuzi, Nitafuteni
Weka sasa mawasiliano yako kamili. Au unataka hao wanunuzi waje mpaka huko Mbinga halafu waanze kukuulizia nyumba kwa nyumba mpaka wakupate?
 
Usafirishaji upoje huko hadi kuyaleta mjini..?
Gari za kurudi dar nyingi au kidogo tu..?
 
Bei ipoje sahivi? Nikihitaji mahindi ya kujaza Tandam mbili napata?
 
Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine, naombeni kazi ya kuwakusanyia , ,....enyi wanunuzi, Nitafuteni
0755835012
Km unayo tunza, unless km huna kingine Cha kukuingizia kipato
 
Back
Top Bottom