Weka sasa mawasiliano yako kamili. Au unataka hao wanunuzi waje mpaka huko Mbinga halafu waanze kukuulizia nyumba kwa nyumba mpaka wakupate?Ni msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine, naombeni kazi ya kuwakusanyia , ,....enyi wanunuzi, Nitafuteni
Km unayo tunza, unless km huna kingine Cha kukuingizia kipatoNi msimu wa mavuno ya mahindi sasa,
Hapa ni wilaya ya Mbinga, mkoa wa Ruvuma , ...
Bei ya mahindi ni 300tsh hadi 350 tshs kwa Kg
Karibuni,NINAYO SITE, godown kubwa, na facilities zingine, naombeni kazi ya kuwakusanyia , ,....enyi wanunuzi, Nitafuteni
0755835012
Sahivi gari nyingi sbb ni Muda wa mavunoUsafirishaji upoje huko hadi kuyaleta mjini..?
Gari za kurudi dar nyingi au kidogo tu..?