Karibuni Katika Matembezi ya Hisabati ya Kila Jumatano Saa 10 Jioni Posta Mpya Mpaka Mwenge

Karibuni Katika Matembezi ya Hisabati ya Kila Jumatano Saa 10 Jioni Posta Mpya Mpaka Mwenge

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
409
Reaction score
31
Wakuu,

Habari za jioni.

Naomba niwaalike rasmi kushiriki katika Matembezi ya Hisabati ya Kila Jumatano kuanzia Posta Mpya (Dar) Mpaka Mwenge. Matembezi yanaanza saa 10 kamili jioni kila Jumatano. Kwa wale ambao watapenda kujiunga na kushiriki naomba tuwasiliane kwa namba 0654 467758.

Nawasilisha na karibuni sana.
 
Sawa but tunaomba utujulishe uhusiano uliopo kati ya Mathematics na matembezi hayo.Baada ya maelezo yako unaweza kupata michango ya mawazo kuhusu suala hilo kutoka kwa wadau.
 
Matembezi ya Hisabati ndio nini??
Mnatembea huku mnashuka namba??
We sema tu labda hamna nauli au daladala zimejaa ndio mnatafuta altenative.
 
Wakuu,

Habari za jioni.

Naomba niwaalike rasmi kushiriki katika Matembezi ya Hisabati ya Kila Jumatano kuanzia Posta Mpya (Dar) Mpaka Mwenge. Matembezi yanaanza saa 10 kamili jioni kila Jumatano. Kwa wale ambao watapenda kujiunga na kushiriki naomba tuwasiliane kwa namba 0654 467758.

Nawasilisha na karibuni sana.

Mkuu lengo linaweza kuwa zuri ila uwasilishwaji wake ukaathiri maudhui ,fafanua zaidi mkuu otherwise bado tuko gizani
 
ki-hisabati ndo ki-ndauli, ndauli mwagito? em fafanua ili tuwe pamwinga, wasijesema 2nabana nauli
 
Back
Top Bottom