Habari za asubuhi wana Jf,natumai mmeamka salama na mkiwa mnajiandaa kuingia kwenye harakati za utaftaji kwa lengo la kupata chochote kitu,Na Mungu akawafungulie milango ya baraka.Bila kusahau uzi unavojieleza, Karbu tupate kifungua kinywa na tunda la ndizi likiwa ni kwahisani ya Mshana Jr.