Karibuni kwenye kibanda umiza changu ,Yanga akishinda nawarudishia pesa zenu

Hahaha! Watani.
Ila Leo Wanaweza Okota Ndala Zao..
 
Hicho kibanda kina hadhi ya kuonyesha Ndondo Cup.
Mechi za Mabingwa wa kihistoria Tanzania zina hadhi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…