Habari!
Napenda kuwakaribisha kwenye mkutano wa kwanza utakao wakutanisha wana bunda wanaosoma kwenye vyuo mbalimbali Mwanza. Ni siku ya jumapili trh 1/3/ 2015 , ukumbi wa M 7 SAUT Malimbe Mwanza. Kuanzia saa nane mchana .Pia tunawakaribisha wote wenye mapenzi mema na wilaya ya bunda.
Tafadhali wajulishe na wengine. Kwa mawasiliano tupigie 0764 156731 au 0688 452090.
Nyote mnakaribishwaaaa!!