Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mexime hayupo kwenye hizo picha hapo juu labda kama umemuona sehemu nyingine,...huyo unaemwita Mexime ni Peter Manyika kipa wa zamani wa Yanga na Taifa StarsMaxime kapendeza saana na shati lake la bahamas
Safi sana wachezaji hao wamecheza wakati nchi Ina heshima na adabu, kila mchezaji hapo juu alikua anajeza kwa kipaji sio mpira wa sasa wa kuelekezwa, mapango anakimbia na chaki, mkweche beki mahiri ohooo Pan Africa FC vs Vita FC ndani ya A town, Tanzania one..Mwameja..,Abdallah Burhani no 9 matata sana,Kushoto nyuma; Makumbi Juma, Lunyamila, Abdallah Burhan, Abdallah Kaburu, Muhidin Sisso, Bakari Malima na Sure Boy.
.
Chini kushioto; Ally Malilo, Hassa Gordian Mapango & Mohamed Mkweche.
.
Tukisubiri hafla ya tuzo za wachezaji zinazoanza saa 1 usiku leo.
.
Makipa; Mwarami Shilton, Moses Mkandawile, Mohamed Mwameja & Peter Manyika
.
Tuzo zaidi ya 56 kushindaniwa Leo.
.
Karibuni Sana Rotana Hotel DsmView attachment 2283778View attachment 2283788
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mrembo oyeee?? Uspoitikia bas na wew umepoaMbona ukumbi umepooza hivi watu hawashangiliii kama wamemwagiwa maji..Kweli shughuli za simba zinanoga bwana kwanza ka ukumbi kabayaa wamebanana wameshindwa kwenda walikofanyia wenzao wa kimataifa Simba mwaka jana??
HoyeeeeeeMrembo oyeee?? Uspoitikia bas na wew umepoa
Azamu hawajajipanga na hapo DSM je ingelikuwa mikoani si aibu hii.Ngoja nikalale maana naona matangazo ghafla yamekatika naona mambo ya 77 hapa.
wakongwee hao banaa!namuona winga bora kabisa kutokea Tanzania miaka ya 1993-2003, Edibily Jonas Lunyamila!mpira ukiitwa mpira!Kushoto nyuma; Makumbi Juma, Lunyamila, Abdallah Burhan, Abdallah Kaburu, Muhidin Sisso, Bakari Malima na Sure Boy.