Oooh, Umenikumbusha nyumbani aisee, that is Mwanza.
Hicho kijengo chenye paa jekundu ni petrol station ya Kada wa CCM, Ambaye alijenga petrol station maeneo ya furahisha (furahisha iko umbali kidogo kutoka apo kwenye round about, kwenye direction inakoelekea hiyo zima moto) ambayo ilibomolewa kwa zengwe kubwa sana kutoka na maslahi ya kisiasa baina yake ya injinia wa mkoa wakati huo (sasa ni mbunge wa buchoa kupitia CCM).
Sikuwahi kujua exactly what had gone wrong between those two, mwenye data anaweza akashare experience please.Ila cha msingi ni kwamba kada/Mhindi huyo alifinance kampeni za Ben katika kampeni zilizo mrudisha marakani for the second term kwa kujaza magari ya ccm mafuta.
Ukiinua macho juu kidooogo, upande wa kushoto wa hiyo petro station hicho kighorofa cheupe ndio kuna Office za IMMMA Advocates, ni kijengo ama chake ama cha baba yake na brother men Masha aka failure.
Ukiangalia hiyo barabara iliyonyooka, mbele kule upande wa kushoto hilo jengo unaloliona mara ya mwisho mimi kuliona ujenzi wake ulikuwa umesisimama, sijui kama unaendelea, ni jengo la Mramba, ujenzi ulisamama ghafla baada ya kesi yake kuanza mahakamani.
Na hapa mwanzo wa Picha, hicho ki pick up kinaingia kwenye Jengo la CCM Mkoa wa Mwanza,hapo ndo mbinu zote za kuwafukarisha wakazi wa mwanza huzaliwa na kubarikiwa.
I love you Mwanza,