Mkuu nimesikia Sana hizo fulsa, Kuna watu wanatengeneza hizo batik hapo au bado wanazitoa huku? Wateja wa Migorore ya kimasai Ni wenyeji au Watalii?Wadau karibuni tutumie fursa za biashara hapa mjini MASERU bidhaa za; Vitenge, Batik, mashuka ya kimasai na mfereji maringo maana kina dada toka Ethiopia, Arusha, kigali wamejaa hapa wanapiga kazi. KARIBUNI SANA
Ujenzi wa Maseru ni tofauti, kidogo unafanana na SA, hafu ni very simple chomoka Tu mwanangu, anzia Mozambique kuna fulsa kibao za ufundi!je kazi za mafundi ujenzi vpi zipo?
Vipi soko la Utalii? Ni kubwa Kama kwetu? I mean biashara zinazohusiana Na utalii!Bidhaa kama BATIK, mashuka ya kimasai tunachukulia Tanzania kwa kutumia usafiri wa BASI mpaka HARARE kisha Johannesburg sisi tunaupokelea hapo. Tunaalika KINADADA warembo na KINAKAKA watanashati kujongea huku maana hku MODELLING/FASHION industry bado changa sana muje tuichangamshe.
mbona umebase sana na biashara za hovyo hovyo mara urembo.mara uchangudoa vipi wewe unamiliki danguro?Maseru pia kuna fursa za kusuka nywele na urembo.
Mleta mada maelezo yako mengi hayana ukweli; Textile industry Lesotho iko juu sana na material yao Seshoeshoe ambayo ni traditional; I know wadada wanapenda khanga na vitenge for a change but it cannot be a succesful business. Population ya hapo maseru inakaribia watu laki mbili, mzunguko wa hela ni mdogo watu wengi wanaishi kusubiri mshahara mwisho wa mwezi. hata machangudoa (wanaitwa crocodile) Maseru ni wa kuhesabika; Town hapo kuna Hoteli tatu tu za maana. kazi ambazo zinalipa walau ni Udaktari, Nurse, Waalimu - hasa ukiamua kukaa wilayani (milimani). Kenyans wamejaa wanafanya unesi na ualimu. Wacongo ndio doctors serikalini about 80% kwakuwa nchi ya Lesotho haina medical school wanasomesha watu wao Zimbabwe na south Africa na wengi wakimaliza hawarudi (south Africa inalipa vizuri madoctor ingawa ukilinganisha na Tanzania Lesotho wanalipa vizuri). Pia sio kweli kuwa wenyeji hawapendi kufanya kazi, but Wasotho waliosoma vizuri can easily be employed South Africa kwasababu wanaongea lugha moja upande wote wa jimbo la Free state na pia ni rahisi kujifunza kizulu. Wale wasiosoma Maseru hakuna misheni town wanaenda south africa migodini. But it is a nice city, calm na watu hawana noma na wageni.
Yaani biashara anazosema kuna fursa hazisomeki kabisa[emoji16]mbona umebase sana na biashara za hovyo hovyo mara urembo.mara uchangudoa vipi wewe unamiliki danguro?
mkuu,, lucrative inakuja pale una issue ya kufanya tayari, lkn kwa mpiganaji anachotafta ni anatoka vipi, issue za anasa baadae sanaHuko chenga tupu hakuna kitu maisha ya kawaida sanaa sidhani kama Ni lucrative kiviiile
ni pm unipe taarifa hizoFursa zipo za kumwaga msiogope kuja. Kama kampuni Tunaweza kukupokea Johannesburg na kukupa utaratibu mzuri wa kufika hapa Maseru Beibii
Safi saana mkuu Ubarikiwe kwa kuweka Ukweli juu ya hili.Mleta mada maelezo yako mengi hayana ukweli; Textile industry Lesotho iko juu sana na material yao Seshoeshoe ambayo ni traditional; I know wadada wanapenda khanga na vitenge for a change but it cannot be a succesful business. Population ya hapo maseru inakaribia watu laki mbili, mzunguko wa hela ni mdogo watu wengi wanaishi kusubiri mshahara mwisho wa mwezi. hata machangudoa (wanaitwa crocodile) Maseru ni wa kuhesabika; Town hapo kuna Hoteli tatu tu za maana. kazi ambazo zinalipa walau ni Udaktari, Nurse, Waalimu - hasa ukiamua kukaa wilayani (milimani). Kenyans wamejaa wanafanya unesi na ualimu. Wacongo ndio doctors serikalini about 80% kwakuwa nchi ya Lesotho haina medical school wanasomesha watu wao Zimbabwe na south Africa na wengi wakimaliza hawarudi (south Africa inalipa vizuri madoctor ingawa ukilinganisha na Tanzania Lesotho wanalipa vizuri). Pia sio kweli kuwa wenyeji hawapendi kufanya kazi, but Wasotho waliosoma vizuri can easily be employed South Africa kwasababu wanaongea lugha moja upande wote wa jimbo la Free state na pia ni rahisi kujifunza kizulu. Wale wasiosoma Maseru hakuna misheni town wanaenda south africa migodini. But it is a nice city, calm na watu hawana noma na wageni.