Kiukweli nikiingia kwenye uzi nikakuta watu wanakomenti kwa kingereza naona wivu sana , ila pia nayakariri majina ya hao member ili siku wakijaribu kujibishana na mimi siwajibu maana hawakawii kuanza kingereza chao
Sent from my SM-J410F using
JamiiForums mobile app