Karibuni Lyabuasalu Secondary

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Wanajf, Lyabusalu secondariipo moa wa shinyanga km 45 kutoka shinyanga mjini, tangu ianzishwe mwaka 2007 haina jengo la utawala, mkuu wa shule na walimu wanakaa kwenye darasa moja, hii ni moja kati ya shule nyingi za kata tanzania,
 
Seconari ni kitu gani ndg yangu? Au ni sekondari? Poleni sana wanafunzi na walimu wa Lyabusalu (Kama ni shule?!)
 
Kweli ni shule ya kata na ina matatizo mengi sana, naona hata wewe uandishi unakupga chenga.
 
 
Seconari ni kitu gani ndg yangu? Au ni sekondari? Poleni sana wanafunzi na walimu wa Lyabusalu (Kama ni shule?!)

Ni shule ya sekondari Lyabusalu, ipo wilaya ya shinyanga vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…