Karibuni Mahafali: Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi!

Karibuni Mahafali: Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
karibun,
inafanyika tarehe 2.

ukimaliza hiki chuo, shukuru Mungu

Malecture wa hapa.ni hatari.............
 
Eti havard of africa..pelekesha ujinga wako huko huko ushirika,infact level ya hcho chuo chako ni sawa na zoom college au arizona training college.
 
Pamoja na kugradueti ushirika hujajua havard ni nini? Hongera lakini uje utusaidie kwenye saccos zetu
 
Umeharibu kwahiyo promo uliyofanya mkuu.

Kila la kheri sana mkuu.
 
tutajie alumni wa chuo hiki tuprove unachokisema.
 
hongera mkuu hawa wanakuonea wivu umepiga shule Harvard ...
 
Kama zilivyo shule za kata,MUCCOBS nayo ni chuo cha kata,anayebisha anithibitishie ni kwanini huyo jamaa aseme ushirika ni Harvad of Africa.
 
Kama zilivyo shule za kata,MUCCOBS nayo ni chuo cha kata,anayebisha anithibitishie ni kwanini huyo jamaa aseme ushirika ni Harvad of Africa.

where is muccobs kwanza?
 
Kama zilivyo shule za kata,MUCCOBS nayo ni chuo cha kata,anayebisha anithibitishie ni kwanini huyo jamaa aseme ushirika ni Harvad of Africa.

uliomba ukapelekwa au unatumia uhuru wa kuongea..
 
Back
Top Bottom