Karibuni mezani

Asante mkuu, Ila umenirudisha kwenye njaa
 
Kweli hiyo nyama nina wasiwasi nayo
Hiyo Nyama sio mbichi....nimekumbuka 2012-2014 nikiwa Advance shule moja huko Mkoani Mara tulikuwa tunakula nyama kama hizo zinakuwa na rangi nyekundu jambo ambalo mwanzo tulipata wasiwasi sana mpaka tukawa tunahoji na baadhi yetu wakaacha kabisa kutumia... walisisitiza ni nyama ya ng'ombe japo mpaka Leo siamin ila nilikuwa nakula tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Kweli inatia mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…