Karibuni mjipatie picha za kuchora

huwezi kupata mteja, haiwezekani mtu anunue picha ya kuchora alafu isiwe mali yake!

kama huamini embu jaribu kujichukua video ukiwa unaichoma hiyo unayosema picha yako ya kuchora, ndo hapo utapojua kuwa siyo mali yako.
 
Ni nzuri sema A3 ungefanya hata kwa 50/60 natambua kipaji chako mkuu, je huna picha zozote zile za art za kubandika ndani/ukutani?
 
Kuanzia Tshs 20,000/= hadi Tshs 300,000/=tu bosi na bei inatokana na ukubwa wa picha husika kama inavyoonekana hapo chini:
A0-300,000/=
A1-250,000/=
A2-180,000/=
A3-100,000/=
A4-50,000/=
A5-20,000/=
Poa poa Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…