Karibuni mniletee mazoezi yote ya kukata tumbo(sixpack)

Ingia playstore search unachokitaka kuna Apps kibao chagua moja install kisha uwe unafanya watakua wana kuremind pia.
 
yaani kuipinga 20 za kuvuta miguu na 20 za kuvuta upande wa tumbo lazima ukaarishe kwanza
 
tumia roller, ukipiga 50 kwa siku wiki mbili tuu sixpack hizi hapa!!!
 
Na msosi uwe vyema co mazoez mengi baadae unapiga chips mayai na coca baridiii
 
nataman sana kukata mafuta ya tumboni na thighs ila naishia kukodolea macho km hv
 
NENDA Play store au hata istore search Abs.. Ina hzo programs. Tumbo lazma utakaza tu. Sku za mwanzo mwili utauma ila bdaye unazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…