naam nipo hapa!nipe maujuzi ila sio kuniambia nikache msosi
Culture gal nasikia unapiga ngumi balaa!!Ingia playstore search unachokitaka kuna Apps kibao chagua moja install kisha uwe unafanya watakua wana kuremind pia.
Haha!, ni baadhi tu ya misosi Mbiti labda ndo ukache kwa muda sio yote.
yaan napenda sweet thngs...yan kwa siku me naconsume more sweets than fats!ngj nitie nia
Tuko wengi mwaya, lakini unaweza kuanza pole pole na ukizoea inakuwa rahisi.
Pouwa sana!
nikifanikiwa nitakupm napicha juu..napenda sana kuvaa croptop..lol
Nice!!!!...halafu croptop zina trend sasa right?
Naona wengi wanazitinga..
yeah ht sie plus size twavaa tu...
Good, ukishakolea ntakuwa mwanafunzi wakontaanza kwakweli
Lol.... yes hujakosea kwenye hilo kabisa.Culture gal nasikia unapiga ngumi balaa!!