Meja vitalis
Member
- Aug 7, 2013
- 32
- 14
Watu wengi hukosa kuzifaidi raha kwa kufuata mkumbo wa baadhi ya watu na kujikuta wanaishia katika mikosi na mazingira magumu ya kusomea,kama wewe ni miongoni mwa hao nakukaribisha Mkwawa university uje ule mema ya nchi na uione thamani ya Elimu yako! Mungu ibariki MUCE,wabariki Malekchara wake na wanachuo wote pia."NEVER DIS,FULL CUDOS,PEACE&LOVE!"