Karibuni MUCE,a.k.a PEPONI.

Meja vitalis

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
32
Reaction score
14
Watu wengi hukosa kuzifaidi raha kwa kufuata mkumbo wa baadhi ya watu na kujikuta wanaishia katika mikosi na mazingira magumu ya kusomea,kama wewe ni miongoni mwa hao nakukaribisha Mkwawa university uje ule mema ya nchi na uione thamani ya Elimu yako! Mungu ibariki MUCE,wabariki Malekchara wake na wanachuo wote pia."NEVER DIS,FULL CUDOS,PEACE&LOVE!"
 
chuo kilijengwa na waingereza.....so Udom ya mchina.....ulizia BIg 3year mkimbizaji
 
mkisikia mtu anauza room ntafuteni 071233687
 
shahada za hapo vp?maana nimeambiwa eti MUCE ni collage.
 
shahada za hapo vp?maana nimeambiwa eti MUCE ni collage.

shahada zinatolewa kama kawaida na kuitwa "UNIVERSITY COLLAGE" ni kwa xabab once kilikuwa kinatoa Diploma na certificate but kwa xaxa ni Degree tu! "NEVER DIS!"
 
Mbona bado ndo fainalist tunaingia raha hazijaanza.Big mkimbizaji na kocha mchezaji.
 
We ----- nini!Acha ulimbukeni.:A S-confused1:
 

Mhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…