Karibuni nyumbani

Capricon hotel ipo kwa juu wee ukifika mtoni pale ni pm

Wakuu lugha zinakua kila siku. sipo bongo kama mwaka sasa lakini naomba kueleweshwa kuni pm ndio nini??? majuzi nilipiga simu niliambiwa jamaa kafulia nikawa najiuliza kafulia ndio nini baada ya kuuliza nikaeleweshwa maana yake.

Kuni PM ni mpya kwangu....

Natanguliza shukran
 


Pm ni private message, so kupm ni kuandika private message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…