Karibuni sana Iringa wanaJF

Karibuni sana Iringa wanaJF

kihedemuswede

Senior Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
141
Reaction score
41
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april.

Kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa na nyaadoogi.

Kwa wale waliowahi kutembelea miezi hiyo miaka iliyopita na waliopo Iringa sasa karibuni mtujuze zaidi.
 
??!! Nilikuwa najiuliza hii ni habari au hoja mchanganyako, nikakumbuka tunatafuta house girl. Nitakuja huko mkuu, nitakunywa ulanzi na kurudi na hako ka dada
 
Mkuu nilikwepo huko January nilijitahindi sana humu jf kutafuta mwenyeji huko sikufanikiwa
 
??!! Nilikuwa najiuliza hii ni habari au hoja mchanganyako, nikakumbuka tunatafuta house girl. Nitakuja huko mkuu, nitakunywa ulanzi na kurudi na hako ka dada

Karibu sana.ila kipindi hiki kupata kabinti itakuwa tabu kidogo labda mpaka kiangazi ulanzi maboga yakiisha utawapata wengi tu.
 
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa.na nyaadoogi.kwa wale waliowahi kutembelea miezi hiyo miaka iliyopita na waliopo Iringa sasa karibuni mtujuze zaidi.

Kipindi maalumu tunaita wa msimu kila baada ya siku 2 huwa natumiwa ulanzi kwenye abood kutoka iringa kuja dar. Napamiss sana ipogoro home sweet home.
 
Hahahahaaa ni hatar tena kwa hali ya hewa ya leo ni utata toka asubuh ni shda

Ulanzi unasafisha mirija ya uzazi hivyo kina mama baada ya msimu wa ulanz kuisha wanakuoa na njia saf kinakuja kipindi cha barid mwez wa sita na saba kufika wa kumi kila mwanamke mjamzito.
 
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa.na nyaadoogi.kwa wale waliowahi kutembelea miezi hiyo miaka iliyopita na waliopo Iringa sasa karibuni mtujuze zaidi.

Vp ule utaratibu wa "we niangusage sambi sote sa kwako" bado upo? Raha sana
 
Usiwape tu ulanzi ambao haujakomaa ukafanya wafungwe pampas.
 
Ulanzi mtogwa, mkangafu au mdindifu? Ulanzi wa Mtwivila, Viwengi, Tagamenda/Semtema, Tanangozi au Mawelewele?

Sema mwezi wa 6 baridi yake huko hakufai! Ni nyumbani kwetu, lakini naogopa baridi sana siku hizi!

Nitarudi mwezi wa 8 kusalimia wazazi, najua ulanzi utakua umeshapanda bei, lakini ntaupata wa kutoka Mawelewele!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ulanzi wa njombe ni mwaka mzima hauna msimu
 
Honey Faith hiyo mboga moja ya majani chungu balaa sijui hata niielezeaje
 
Back
Top Bottom