kihedemuswede
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 141
- 41
Mkuu nilikwepo huko January nilijitahindi sana humu jf kutafuta mwenyeji huko sikufanikiwa
??!! Nilikuwa najiuliza hii ni habari au hoja mchanganyako, nikakumbuka tunatafuta house girl. Nitakuja huko mkuu, nitakunywa ulanzi na kurudi na hako ka dada
Wakishalewa michepuko
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa.na nyaadoogi.kwa wale waliowahi kutembelea miezi hiyo miaka iliyopita na waliopo Iringa sasa karibuni mtujuze zaidi.
Ndo kipindi cha mimba sn , michepuko sn na ukimwi kwa sana!! Ukija cheza salama!
Hahahahaaa ni hatar tena kwa hali ya hewa ya leo ni utata toka asubuh ni shda
Karibuni sana wadau mtembelee Iringa miezi hii march na april kwani kuna ulanzi kwa wingi kipindi hiki ukipatikana asubuhi mchana na jioni,maboga,mkaliifya bila kusahau matunda aina ya mitundwa.na nyaadoogi.kwa wale waliowahi kutembelea miezi hiyo miaka iliyopita na waliopo Iringa sasa karibuni mtujuze zaidi.
Mkalifya mboga chungu sana jaman duu
Ulanzi mtogwa, mkangafu au mdindifu? Ulanzi wa Mtwivila, Viwengi, Tagamenda/Semtema, Tanangozi au Mawelewele?
Sema mwezi wa 6 baridi yake huko hakufai! Ni nyumbani kwetu, lakini naogopa baridi sana siku hizi!
Nitarudi mwezi wa 8 kusalimia wazazi, najua ulanzi utakua umeshapanda bei, lakini ntaupata wa kutoka Mawelewele!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums