karibuni sana

karibuni sana

Joyceline

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
1,010
Reaction score
167
Wapedwa kwa wale mlioko dar,

Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
 
Ahsante kwa mwaliko Joy sasa hapa ndio nitaona kama kweli wana wapi watachangia au tunapenda kuchangia mambo ya dunia!!!! hahahahahahhhahhahhah
 
Nyamungo, Kwani hapo kunahitaji kuchangia nini? Sana sana ni kuukubali mwaliko ama kuakataa. Na kuukubali mwaliko ni kuhudhuria na wala si kuitikia halafu usiende! Wengine wanaweza kunyamaza lakini wakaenda pia.
 
Joy huyo jamaa bado ananguruma? ndo yule nasikia ana ma bodi hadi na alikuwa arusha kabla?

Asante kwa taarifa
 
Wapedwa kwa wale mlioko dar,

Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
Deci isiwepo
 
Joy huyu jamaa si ndiye ana ugomvi mkubwa na mke wake hata kupelekana vyombo vya dola?
Au wamesameheana?
 
Joy thanks, Ubarikiwe, je Engen mmehama au Kawe ni kwa muda
 
Yes pale tunahama jpili iliyopita ndo ilikuwa siku ya mwisho, kwa sababu ni padogo halafu kipindi cha mvua panajaa sana maji, japo mmiliki wake hapatumii alitupa lile eneo.pale patabaki ofisi na mambo mengine.
 
Joy huyu jamaa si ndiye ana ugomvi mkubwa na mke wake hata kupelekana vyombo vya dola?
Au wamesameheana?

Hakuna ndoa isiyokuwa na migongano, ukiacha yule ni mtumishi wa Mungu lakini pia ni binadamu siyo malaika,
Hajaachana na mke wake wanaishi naye na wala hawana ugomvi, kama ulisikiliza kama wiki tatu zilizopita alihojiwa na Wapo radio na akaulizwa swali hilohilo akalitolea ufafanuzi, kwamba anaishi na mke wake vizuri hata wakitaka ampigie simu waonge naye.
 
Wapedwa kwa wale mlioko dar,

Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.

Asante JOY,
Ningependa kuhudhuria ibada hizo ila niko mbali na Dar kikazi.
M'barikiwe sana.
 
Nikija ktk ibada hiyo utanijuaje kama mimi ndo Malila? Nakupongeza sana kwa mwaliko,ili kila mwenye nafasi akale hicho chakula cha roho. usiache kutukaribisha dada,hiyo ni sehemu muhimu ktk wajibu wa mtumishi ye yote yaani kitu kizuri kula na ndugu yako.
 
Ahsante kwa mwaliko Joy sasa hapa ndio nitaona kama kweli wana wapi watachangia au tunapenda kuchangia mambo ya dunia!!!! hahahahahahhhahhahhah

wewe Nyamungo vp tena mkaribisho tuchangie nini sasa?
Mi nitakuja nitakuwa napiga 2 kwenye bar opp. na yanapo paki malori pale kisha narudi mkutanoni bila stimu siwezi nikasikiliza vizuri neno.
 
Yes pale tunahama jpili iliyopita ndo ilikuwa siku ya mwisho, kwa sababu ni padogo halafu kipindi cha mvua panajaa sana maji, japo mmiliki wake hapatumii alitupa lile eneo.pale patabaki ofisi na mambo mengine.
Haya mpendwa, Ubarikiwe na tunawaombea ila mie nipo ktk huduma jumapili sintoweza, but there is always tmorrow, will put you in my friends list
 
wewe Nyamungo vp tena mkaribisho tuchangie nini sasa?
Mi nitakuja nitakuwa napiga 2 kwenye bar opp. na yanapo paki malori pale kisha narudi mkutanoni bila stimu siwezi nikasikiliza vizuri neno.

Wenye afya hawaitaji daktari bali walio wagonjwa, Mungu anawaita wote na atakubadilisha taratibu. Karibu mpedwa.
 
Back
Top Bottom