Nyamungo, Kwani hapo kunahitaji kuchangia nini? Sana sana ni kuukubali mwaliko ama kuakataa. Na kuukubali mwaliko ni kuhudhuria na wala si kuitikia halafu usiende! Wengine wanaweza kunyamaza lakini wakaenda pia.Ahsante kwa mwaliko Joy sasa hapa ndio nitaona kama kweli wana wapi watachangia au tunapenda kuchangia mambo ya dunia!!!! hahahahahahhhahhahhah
Ahsante kwa mwaliko Joy sasa hapa ndio nitaona kama kweli wana wapi watachangia au tunapenda kuchangia mambo ya dunia!!!! hahahahahahhhahhahhah
Joy,asante sana ngoja tusuburi
Deci isiwepoWapedwa kwa wale mlioko dar,
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
Joy huyu jamaa si ndiye ana ugomvi mkubwa na mke wake hata kupelekana vyombo vya dola?Wapedwa kwa wale mlioko dar,
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
Joy huyu jamaa si ndiye ana ugomvi mkubwa na mke wake hata kupelekana vyombo vya dola?
Au wamesameheana?
Joy thanks, Ubarikiwe, je Engen mmehama au Kawe ni kwa muda
Joy huyu jamaa si ndiye ana ugomvi mkubwa na mke wake hata kupelekana vyombo vya dola?
Au wamesameheana?
Joy,
Unasubiri watu kwenye mahubiri ama kuchangia mawazo humu jf!
Wapedwa kwa wale mlioko dar,
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
Ahsante kwa mwaliko Joy sasa hapa ndio nitaona kama kweli wana wapi watachangia au tunapenda kuchangia mambo ya dunia!!!! hahahahahahhhahhahhah
Haya mpendwa, Ubarikiwe na tunawaombea ila mie nipo ktk huduma jumapili sintoweza, but there is always tmorrow, will put you in my friends listYes pale tunahama jpili iliyopita ndo ilikuwa siku ya mwisho, kwa sababu ni padogo halafu kipindi cha mvua panajaa sana maji, japo mmiliki wake hapatumii alitupa lile eneo.pale patabaki ofisi na mambo mengine.
wewe Nyamungo vp tena mkaribisho tuchangie nini sasa?
Mi nitakuja nitakuwa napiga 2 kwenye bar opp. na yanapo paki malori pale kisha narudi mkutanoni bila stimu siwezi nikasikiliza vizuri neno.
Asante JOY,
Ningependa kuhudhuria ibada hizo ila niko mbali na Dar kikazi.
M'barikiwe sana.