Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya.
Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo Yesu! Aliyekufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.. Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki wa JF waliopo hapa Morogoro mjini.. Kama upo kihonda, mazimbu, mjini, forest ama viunga vingine vya mji huu. Karibu sana mtaani nyumbani, kwangu mitaa ya msufini kwa Afande sele, tusherekee pamoja sikukuu kwa kufahamiana na kutembeleana pia. Mwenyezi Mungu abariki siku nzuri hii1