Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Hao wapinzani wanaonunuliwa wanatoka chama gani ambacho kinaendekeza njaa kuliko kutetea wananchi?Umeshapewa mgao wako na Lumumba wa kununua wapinzani?
Mi mwislamu na mkristo pia.Allah?!
Pasaka!?
Yeah tayari, mkuu ndo nataka tufanye kushare..Umeshapewa mgao wako na Lumumba wa kununua wapinzani?
Oooh!Hao wapinzani wanaonunuliwa wanatoka chama gani ambacho kinaendekeza njaa kuliko kutetea wananchi?
Yaani Kama chama kina wanachama Malaya na wenye njaa kupindukia hivyo hakifai kupewa nchi, kitauza taifa.
peponi camp leo afande haendi?Kama ilivyo siku nzuri kabisa ya leo imefika, tunamshukuru Allah katupa neema kote dunia sisi tulio wazima wa afya.
Ifahamike kuwa siku ya leo tunaazimisha siku, ya kufufuka Bwana wetu, Kristo Yesu! Aliyekufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.. Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki wa JF waliopo hapa Morogoro mjini.. Kama upo kihonda, mazimbu, mjini, forest ama viunga vingine vya mji huu. Karibu sana mtaani nyumbani, kwangu mitaa ya msufini kwa Afande sele, tusherekee pamoja sikukuu kwa kufahamiana na kutembeleana pia. Mwenyezi Mungu abariki siku nzuri hii1
Nadhani atakuwa keshaenda, mimi jirani yake tu hapa.peponi camp leo afande haendi?
Sogea Hapa Zebra...!Nadhani atakuwa keshaenda, mimi jirani yake tu hapa.
Napita hapo, mkuu..Sogea Hapa Zebra...!
Sio mbaya mkuu.Ingekuwa kilosa tungekutana
Okay, wewe ni yule anayejiita rasta mla nyama wa peponi?Mi mwislamu na mkristo pia.
Hapana mkuu. Mwanyasi.. Huko sijafika.Okay, wewe ni yule anayejiita rasta mla nyama wa peponi?