Karibuni Simiyu!

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
505
Reaction score
69
vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu!
 
Tutakuja kuna Mbuga nzuuri saana kwa ajili ya kilimo pale kijijini JISESA Ngasamo wilayani MAGU.Kuna mto Ngasamo,mto Duma yote hii ni mito mizuri saana kwa kilimo cha umwagiliaji.
 
vijana mnaopenda kujishughulisha karibuni kwenye mikoa mipya yenye fursa lukuki za maendeleo hasa Simiyu!
Asante hebu tudokeze hizo fulsa specific kama ni za kujiajiri tuambie kwenye secta gani kama ni kazi gani zimetangazwa...lakini tunakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…