Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Leo nilienda machinjioni kununua mbuzi mzima. Jamaa wakataka kunibania kichwa na mazagazaga mengine. Ikabidi niwakomalie.
Sasa hivi nipo hapa najichana supu ya kichwa cha mbuzi. Aisee sijawahi kula supu ya kichwa cha haka kanyama. Kumbe kametulia ili kinoma.....mh mh mhhhhh!!!!