MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Watanzania wenzangu, tangu tume ya Warioba kutangaza rasimu ya katiba wengi wamekuwa wakilalamika kuwa maoni yao hayakuwa ya kweli kuhusu aina ya Muungano. baada ya kuona hilo nimefikiria nikaona tutumie tekinologia kutafuta ukweli japo hatutapata idadi yote ya watanzania basi nawaombeni tupige kura kwa kufungua link hapo chini na kuchagua aina ya Muungano unaopendelea. Ukifungua hapo chini utakuta maswali 4. yaani 1. Muungano wa serikali 1, Muungano wa Serikali 2, Muungano wa Serikali 3, na 4. Muungano usiwepo.