Ushenzi wa nini sasa! Bado jambo linalo zungumzwa ni lile lile " Katiba ya Nchi ile ile, ya Tanzania"!! Na watu wamekuambia ukweli, muda wa kuiwekea viraka hiyo katiba iliyopo umekwisha!
Sasa wewe unalazimisha watu wajadili katiba isiyo endana na wakati wa sasa! Huoni utakuwa na matatizo?