Karibuni tujadili maisha ya ujanani na masuala mengineyo ya kimaisha

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari,

Karibuni katika uzi huu pendwa wenye dhima na dira maalumu ya kujadili maisha ya ujanani, kwa kuangazia opportunities, weakness, strength za Rika hili la ujana linalo anzia miaka 18 mpaka 35 kwa sheria za hapa kwetu Tanzania.

Vile vile hata kujadili masuala mengineyo ya kimaisha kama kuanzisha familia, kuwa na vipato vyema vya kifedha na namna ya kupata fedha.

Wote mlio na Sound minds mna karibishwa.

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…