Karibuni Tujenge Dodoma

Karibuni Tujenge Dodoma

Jimmy99

Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
18
Reaction score
5
Viwanja Bei zake ni kama zinavoonekana kwenye Tangazo letu wadau.
Maongezi pia yapo
Wasiliana nasi 0620175964
Screenshot_20220421-124003_1.jpg
 
Bei hyo hata dar haijafika au vipo karibu na ikulu nataka cha 1.5M vipi nitapata.
 
Kaabiiisaaa nije nijenge maji chumvi!!!!!?????
Kwa bei ya kiwanja cha Kigamboni!?? Mbutu au Kimbiji!?
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bagosha.......! Yaaayaaah gete! Nalemaga
 
Kaabiiisaaa nije nijenge maji chumvi!!!!!?????
Kwa bei ya kiwanja cha Kigamboni!?? Mbutu au Kimbiji!?
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bagosha.......! Yaaayaaah gete! Nalemaga
Mbutu na Cheka ninavyo piaa
Umbali. 2km kutoka lami

Ukubwa: 23 kwa 20m

Bei : 5000000 ( maongezi)
 
Viwanja Bei zake ni kama zinavoonekana kwenye Tangazo letu wadau.
Maongezi pia yapo
Wasiliana nasi 0620175964View attachment 2195244
Kwa sasa hizi bei huwezi kupata wateja. Dodoma ya sasa hakuna tena inflow ya wafanyakazi wanaohamia na waliohamia mostly walishanunua. In few years to come biashara ya nyumba za kupanga Dodoma itakuwa ni hasara tupu.
 
Back
Top Bottom