Karibuni tujuzane kuhusu BMW 3 Series

Ila wadau tuseme kweli forester zinazingua sana na nilichogundua mafundi wa hizi gari bongo hamna yani kuna DRN nimeikuta car garage moja mpaka nimechoka
Kukuta gari moja garage ndo kumekufanya uhitimishe kusema forester zote zinazingua?
Wabongo washamba sana.
 
Kukuta gari moja garage ndo kumekufanya uhitimishe kusema forester zote zinazingua?
Wabongo washamba sana.
No Bro !!!! Niliongea na msimamizi wa hiyo garage kwamaneno yake alikiri kuwa Amekuwa anapokea forester nyingi na zikiwa bado kibongo ni mpya
 
Is it advisable kuinyanyua kidogo 3 series? Barabara zetu hizi ( hata za lami) ile mikwaruzo inachoma moyo.
 
Is it advisable kuinyanyua kidogo 3 series? Barabara zetu hizi ( hata za lami) ile mikwaruzo inachoma moyo.
Unayo M Sport package au normal?

Nimenyanyua M Sport package E90 kwa Spenser za inch 1.5 mbele tu haijaharibika muonekano kabisa.

Ila nyuma nimeiacha vilevile. Izo rim ni zimekuja nazo inch 17 ingawa unaweza weka inch 18.

Tyre ni runflat unaweza weka tyre lenye nyama kidogo ikanyanyuka zaidi.
 
Wenye hizo BMW parts zake naweza kuwatumia kwa bei nafuu tofauti na iliyopo sokoni hata Benz pia...

Hivi mkuu benz/mercedes tunazoagiza from be forward Japan parts zake zinaingiliana na benz/mercedes za kutoka South Africa mkuu?
 
Hivi mkuu benz/mercedes tunazoagiza from be forward Japan parts zake zinaingiliana na benz/mercedes za kutoka South Africa mkuu?
Mwendo wa VIN tu mkuu. Ukisema mfano unataka taa ya mbele, unatuma VIN wanacheki compatibility.
 
Wapo wanaochukua na wanakuja kuuza huko hata parts za discovery pia iwe 3 au 4 na ford ranger nina access nazo hizo gari..
 
Yangu sio sport.

Niliskia wanasema spacers zinachosha body. Anyway nitajaribu hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…