Karibuni tusemezane lugha za asili

Cu vi parolas Esperante?:- Je unaongea Ki-Esperanto?
Mi ne kumprenas vin:- Mimi sikuelewi.
Unu bieron, mi petas:- Bia moja, tafadhali.

Hiki kilugha kilitungwa na Dr Zamenhof kati ya mwaka 1870 na 1880, jamaa alikuwa Daktari wa macho, alizaliwa Bialystock (Zamani sehemu ya Urusi ila kwa sasa ni Poland).
 
To nade e twak kaa
 
Bandeko Nanga Mozali Malamu? Ngai Natonge Nakeimo Mosala Bongo Tango Yango Oyo To Lamuka Tanzania Mboka Na Bise Nzambe Alingi Biso Mingi Ye Wana Ana Na Nzela Azako Yako Bikisa Biswe Bofangola Miso Botarana Bakonzi Ya Mboka Bo Lamuka Batanzania Bolamuka Ezali Mbula Ya Restoration
 
Me sijui lugha ya kabila langu by najua najua lugha la makabila mengine tu.. Mfano
Matombo - matiti (kigogo)
Kamwene - Salama (Kihehe)
Ugonile - kibena/kihehe kama ckosei
Uvekwachi - unaenda wapi (kimakonde)
 
Hahahaahhahaaaaaaaaaaaaa
Unaweza ukadhani ni Ki Philippine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…