Karibuni tutongozane kwa mashairi ya nyimbo hasa za mapenzi

"Bienvenu oh mama na Joyce
Obebisi bolingo
Ekomi lokola ndembo ya makolo Imana na Vita
Bilima na Mazembe sanga balende lipopo"

Wapi mutoto mumoya wa kwa Tanzaniee anipende mukongo hapaa[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Penzi lako linimekolea
sijiwezi darling
Unayonipa sijazoea, sikuwachi honey
Nnapokuona mi nataka
Ongeza manjonjo mi na takataa
Sitaki mwengine we unanifaa
Tena kwa mwengine mi sinoi
Unavyo touch touch kiunoo
Unaamsha amsha yaliomo
🚢😝

Weka picha tuone...


Cc: mahondaw
 
Sauti napaza, kwa uzuri wa tenzi
Japo sina kipaza, ifike kwako mupenzi
Kote nimeangaza, nikitafuta lako penzi
Kwako nimetwama, kweli penzi kikohozi

Ukipita humu usome, hizi beti kwa ajili yako
We waache waseme, wewe uko peke yako
Tena waambie wakome, waache choko choko
Barua kwenu naituma, na kesho iwe yako

Rowin njoo huku haraka sana.


Nakusubiri uje hapa......
 
Ngoja nimse binti mwenye tungo tamu hapa niruke nae.
 
Huyu Rowin ni msanii nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…