Karibuni Ugali Maharage na Kasamaki

inavyoonekana pilipili inalika kwa speed kuliko vingine vyoote
 
Mkuu nina njaa ila duh! hicho kisu sasa kuna usalama kweli?Ondoa kwanza hicho kisu

nimekipenda chakula hiki, dagaa chukuchuku hilo na ndimu kwa mabliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kama magharage ya Mbeya vile. Sasa mbona hukutayarisha dagaa wa Ujiji? Yaani natamani mgebuka weweeee! Umetupeleka Ng'anza eeh? Imani Ishimwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…