Jacky collection
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,238
- 484
- Thread starter
-
- #21
Hii ni electric pressure cooker? Nioneshe naihitajiIyo presha cooker ya sufulia mbili ndo shingap
Karibu mpendwaNahitaji chapati maker niione
Ifungashe na unayoita chapati maker. Wahindi ndiyo wanatofautisha maana kuna porota, rotti ni tofauti na chapati. Hii yako wala si chapati ila ile ya uji wa unga ukiweka mayai inamimina katika kikaango. Vifungashe nikuunge mkono.
KaribuSufuria za cast iron na jiko la electric induction lipoooo?????
Inapika maharage Kwa MDA mfupi 3 dk25 tu bossPressure cooker ndio inayoivisha maharage kwa dakika 5?
Pressure cooker ndio inayoivisha maharage kwa dakika 5?