Jacky collection
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,238
- 484
- Thread starter
-
- #1,101
Hapana boss wanguHaukopeshi mkuu??
Homebase mm nina freezer yake, nimeitumia Kwa muda sasa, sifurahishwi na uwezo wake, nguvu ya kugandisha ni ndogo ukilinganisha na freezer za makampuni mengine..Habari,
Nimeona hizi fridge nikazipenda ni kutoka kampuni ya homebase, vipi ubora wake? Unaweza kuyaelezea kwa machache kama una uzoefu nayoView attachment 3241669
Bruhm refrigerator 516ltrHabari,
Nimeona hizi fridge nikazipenda ni kutoka kampuni ya homebase, vipi ubora wake? Unaweza kuyaelezea kwa machache kama una uzoefu nayoView attachment 3241669