karibuni wa mzumbe university

karibuni wa mzumbe university

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10
 
Ahsante sana mkuu...me ninakuja kupiga msuli wa law hapo
 
Dah naikumbuka sana Mzumbe, Vipi Tundui yupo? mpe hai sana sijui now day ni Dr au ni nani
 
Karibuni sana, mi npo hapa Mzumbe University.
Mkuu Chasha,
Tundui yupo, sasa ivi ni Dr, na ni associate Dean wa Faculty of Social Sciences.
 
Vip Hii HEALTH SYSTEM MANAGEMENT iko Moro pekee au hata Mbeya?
 
Back
Top Bottom