Karibuni wadau tugawane utajiri ili tuweze kumiliki watoto wakali

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nataka nifungue Club ya Kisasa niwe nauza hizi pombe.
  • Komoni (Comon)
  • Mbege
  • Togwa
  • Kangala
  • Chang'aa
  • Kimpumu
  • Wanzuki
  • Mnazi
  • Ulanzi
  • Kibuku
  • Konyagi Mwitu
Eneo litakuwa safi na lenye wahudumu wazuri wenye maumbo ya kuvutia. Pia nitajali sana suala la afya kwa wahusika so katika hili nitahitaji wahudumu wawe wasafi na vyombo pia viwe visafi. Bei zake pia kidogo zitakuwa na uchangamfu siyo kama zile za Uwanja wa Fisi.

Mimi nitadeal na pombe za kienyeji tu. Pia nyama choma, utumbo, ndiz na kuku nao watatumika hawa wakienyeji ambapo mtu akitaka utumbo, miguu, kichwa, mbawa nk. Atapata.
 
Mkuu umekuja na mada nzuri, ila kama kawaida wana JF wata comments vitu vya ajabu, hiyo ya mwisho, kibuku hii ni brand ya wapi? Ni ya kwetu hapa Tanzania au. Je, kuna tofauti ya brand ya kibuku na chibuku? Amini usiamini niliingia pale Alexandra, maeneo ya pan African mall kuna bar kabisa inaitwa chibuku na inauza chibuku, na more serious matter kuna entrepreneur mmoja kutoka Zimbabwe anauza hii kibuku kwenye chupa, nimeziona sana kazungula border na francis town, sasa kama hizi ni brand yetu pls TBS tukunjue makucha dhidi ya wavamizi hawa wa brand yetu.
 
Nice idea
 
Kibuku ndo Chibuku. Hii ni yetu kabisa ilikuwa na kiwanda hapa Ubungo. Sijui what happened haipo tena
 
Hii idea Unaweza kuichukulia utani lakini ni nzuri sana mi nipo tayari kuunga mkono kwa mtaji na ushauri zaidi wa mbinu za maboresho(win win situation).
Karibu
 
Unauza pombe chafu alafu unasema utajali afya acha njaa hebu jitafute ww unadhani ndio wa kwanza kufikiria hivyo ila hakuna pisi itakuja kuuza comon ni ujinga
 
Hii idea Unaweza kuichukulia utani lakini ni nzuri sana mi nipo tayari kuunga mkono kwa mtaji na ushauri zaidi wa mbinu za maboresho(win win situation).
Karibu
Kuna watu wanachukulia utani? Achana nao. Sehemu gani unadhani inaweza faa? Na namna ya kuwapata wataalamu wa kutengeneza hizi pombe.
 
Jnauza pombe chafu alafu unasema utajali afya acha njaa hebu jitafute ww unadhani ndio wa kwanza kufikiria hivyo ila hakuna pisi itakuja kuuza comon ni ujinga
Uchafu wake nini?nielezee hapo
 
Toa sadak so kufungua kilabu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizi wataalamu wa kutengeneza nawapata wapi?
Wataalamu wa kutengeneza kuwapata ni vijijini vya pembezoni kidogo ya mji nadhani ndio wapo wengi.
Kitu cha msingi ni location 📍 na mchanganuo wa gharama za mahitajio Kama vile viti, meza, mziki nk ila cha muhimu zaidi ni location.
Tunaomba mwenye ushauri wa location atushauri sehemu gani kwa hapa dar, hatuhitaji iwe kwenye hoteli au sehemu ya kishua saaana ni sehemu ya kawaida zitauzwa local drinks kwa bei affordable na tutawalenga zaidi wateja wa kipato cha chini na cha kati, sehemu tutadesign iwe ya Kisasa lakini kitamaduni zaidi
 
Kuna watu wanachukulia utani? Achana nao. Sehemu gani unadhani inaweza faa? Na namna ya kuwapata wataalamu wa kutengeneza hizi pombe.
Arusha target iwe wazungu/ na wenye nazo.
Ongea thamani weka wifi,wahudumu professional, mint ( majan flan yanaondoa harufu mbaya mdomoni).Music ziwe n rhumba au live band 3 au 4 kwa wiki,
Nyama choma aina zote
Mzigo unatolea kibosho mbege org.
Unaongea na ma fly kecha waonyeshe wagen chimbo plas kujitangaza kwenye mahotel makubwa.
Na uhakika mbege tuu mtu akiweka investment ya maana anatoboa.
 
Yaani uuze Komoni alafu umiliki mademu wakali???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…