Karibuni wageni wote hapa JF

Karibuni wageni wote hapa JF

magagagigikoko

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
166
Reaction score
167
Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee.
JF Member
 
Hao wa akili fyatu ni ushamba tu wa mitandaoni hivyo wawazoweage tu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom