magagagigikoko Senior Member Joined Nov 13, 2017 Posts 166 Reaction score 167 Jan 13, 2021 #1 Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee. JF Member
Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee. JF Member
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 13, 2021 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Jan 18, 2021 #3 Hao wa akili fyatu ni ushamba tu wa mitandaoni hivyo wawazoweage tu. πππ
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 18, 2021 #4 Receptionist..