Karibuni wana fasihi..

mkubwa 21

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
442
Reaction score
118
Huu wimbo huwa si-elewagi anazungumzia nin ukianza audio, pamoja na video...

Song:Tubonge
Artiste😀r.Jose Chameleon
lable:Leon Island
Language:Swahili
Tubonge ,Chameleon naomba Tubonge,Mungu baba we Longe,Gospel time now,oh Nah
Nina wewe wa kweli katika wote ninae ni wewe,Ananipenda kamili bila kipimo ananipenda hakuna kiasi,Ningependa nikuone nikupe vyote vyangu nikupe chochote,Unachotaka chochote upate lakini sina namna ya kukupata
Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini ata sura ulificha
Chorus
Njoo oh
Nimesubiri sana ni lini tutaonana nana
Njoo oh
I dont know what to do ,to do i¡¯m waiting for you
Njoo oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana
Njoo oh
Rafiki wa kweli Rafiki milele
Rafiki yangu nimempa sasa tuzo
Ana asili zangu nyingi siongopi mateso
Hao wameisha hawanitishi na mawazo,ninae ninae
Walinzi wangu sasa mimi staki fujo ,nikiwa nayeye siogopi vya Devil,Badi man Ongeza Base na Trible nimtaje kama ninaimba Tangazo¡-.
Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini hata sura ulificha
Chorus
Njoo oh
Nimesubiri sana ni lini tutaonana nana
Njoo oh
I dont know what to do ,to do i¡¯m waiting for you
Njoo oh
Nimesubiri sana lini tutaonana nana
Njoo oh
Rafiki wa kweli Rafiki milele
Tubonge ,Chameleon naomba Tubonge,Mungu baba we Longe,Gospel time now,oh Nah
Njo nikupe chochote unataka,hatujakutana mimi nakufata
Njoo nikukaribishe kwangu,njo Nikupikie chakula tamu
Naomba Nikuonyeshe na watoto wangu
Njo nikuonyeshe baba,mama wangu,nikuonyeshe marafiki zangu,na mi na moyo wangu.
Ungekuwa na pasi unaishi ata iwe mbali vipi ningekuja nikuone wewe
Ungekuwa na nambari ya simu,Facebook au twitter lakini hata sura ulificha.*************
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…