Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Karim Benzema: Mchezaji mpira wa Ufaransa apatikana na hatia ya ulaghai kupitia kanda ya ngono. Mshambulizi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula njama ya kumtusi mwanasoka mwenzake wa Ufaransa kutumia kanda ya ngono.
Jaji alimpa Benzema kifungo cha mwaka mmoja nje na kuamuru alipe faini ya €75,000 (£63,000; $84,000). Benzema alikuwa mmoja wa watu watano walioshtakiwa mwezi uliopita kwa jaribio la kumpunja fedha Mfaransa Mathieu Valbuena kutumia kanda hiyo.
Kashfa hiyo imeshangaza jamii ya soka nchini Ufaransa na wachezaji wote wawili kupoteza nafasi katika timu yao ya taifa.