Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
aka pipakweli pata pesa tujue tabia yako,
bado lukaku[emoji1787]
Unaelewa maana ya suspended prison sentence au umecopy tu na kutranslate bila kuelewa mkuu?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Hivi na ile kesi ya Benzima na Frank Ribery kutembea na yule binti under age iliishaje?
Ze inglish iz vere vere hadi.Unaelewa maana ya suspended prison sentence au umecopy tu na kutranslate bila kuelewa mkuu?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
huyu si ustaadhi mkubwa aliyetukana taifa la israel kipindi fulani kwa kusapoti unazi hadi akafungiwa, inakuwaje sasa anapatikana kwenye mambo ya mikanda ya ngono. na si al hadji huyu, alisheenda kuhiji huyu.Karim Benzema: Mchezaji mpira wa Ufaransa apatikana na hatia ya ulaghai kupitia kanda ya ngono. Mshambulizi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula njama ya kumtusi mwanasoka mwenzake wa Ufaransa kutumia kanda ya ngono.
Jaji alimpa Benzema kifungo cha mwaka mmoja nje na kuamuru alipe faini ya €75,000 (£63,000; $84,000). Benzema alikuwa mmoja wa watu watano walioshtakiwa mwezi uliopita kwa jaribio la kumpunja fedha Mfaransa Mathieu Valbuena kutumia kanda hiyo.
Kashfa hiyo imeshangaza jamii ya soka nchini Ufaransa na wachezaji wote wawili kupoteza nafasi katika timu yao ya taifa.