JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Siku zote maisha hayapo fair hata kidogo.Kimasikhara tu jamaa anazidi kuchanja mbuga huku aliemtandika( kaoneka) akichanja Kuni.
Sahihi kabisa.Siku zote maisha hayapo fair hata kidogo.
Sahihi kabisa.
Mandonga kajua kujibrand sana.
Hivi zamani alikuwa anapigana wapi? mbona kaibuka juzi kati hapa
Wakati wa kuinuliwa ukifika kunakua hamna jinsiSahihi kabisa.
Mandonga kajua kujibrand sana.
Hivi zamani alikuwa anapigana wapi? mbona kaibuka juzi kati hapa
Ubalozi wa nchi yako ugenini ni kama nyumbani, so sio ishu. Ingekuwa na uzito kidogo kama angepokelewa kwenye ubalozi wa Canada nchini KenyaBalozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
Dunia na asili vina utaratibu wake aliyejaliwa ndo anapata.Kimasikhara tu jamaa anazidi kuchanja mbuga huku aliemtandika( kaoneka) akichanja Kuni. Leo kakabidhiwa gari huku jamaa aliempa umaarufu amepotea kabisa hata Kwenye ulimwengu wa ngumi. Aliepigwa kapata deal uingereza wakati akina mfaume mfaume na kiduku wapambanaji halisi hawajulikani wanachokifanya.
Hivi ukimtoa Shaban Kaoneka kuna Mtu mwingine kweli anamchukia Mandonga mtu kazi?
Sahihi kabisa.
Mandonga kajua kujibrand sana.
Hivi zamani alikuwa anapigana wapi? mbona kaibuka juzi kati hapa