Karma is real


Akapambane na rafiki yake wa karibu
 
I presumed so....

Hizi cases zipo sana kwa wanawake na marafiki zao, ndo maana wanasemaga adui wa Ke ni Ke.

Kuna mchepuko wangu aliniomba hela akaanzishe business kumbe anamuombea mwenzake. Nikampa hela akampa mwenzake then mwenzake akapotea mazima. Siku ananipiga kizinga nikamuuliza khs business ndo akanambia ukweli wa mambo. Af huyo rafiki yake alikuaga ananitega tega wakati anajua natoka na mwenzie, mie sikuingilia kati sababu aliwah kuosha rungu sikumoja, nikawaachia mambo yao wamalize waowao
 
Kuna kamsemo cha kiubinafsi wa uchoyo huwa wanaambiana Vijana wakifanikiwa kwamba ukiwa na gari ambana na wenye magari, ukiwa na unaingiza 5 milioni ambana na wa five milioni... Eti mtu alikusaidia ukamwacha chini eti huyo achana nae atakushusha.... Lengo kukwepa kurudisha fadhira
 
Hahahah ni kweli usemavyo. Mimi hata aliblock simu zangu
 
Karma ni mbichi haswaa
 
Naam
 
Ungempa nauli au ungemkatia tiketi Kama haumuamini

Neno karimq halimaanishi ubaya tu bali na wema

Karma ni deni ukifanya wema utalipwa WEMA na ukifanya ubaya utalipwa ubaya.


Good deeds =good karma
Bad deeds = bad karma
 
Kuna watu wawili nimekutana nao hapa hapa JF .Mmoja akanambia kuna biashara ya oil nikampatia 2.8M akafanya biashara na invoice kanionyesha pesa kala mpaka leo hajarudisha hiyo pesa na wapili vile vile tulianza nikampatia 200usd biashara ikaenda vizuri nika inject 3M .Hii 3M karudisha kwa sababu nilimwambia ni rasil mali yangu lkn biashara yetu ilikuwa kubwa mpaka 8M au na zaidi nikamwambia nipatie 5M, wewe uendelee na akahidi hivyo ndio ikawa imetoka tena mpka laana ya leo.So ndugu zangu dont trust no body nasuburi kiama chao najua dhulma haidumu.
 
Halafu hana aibu kabisa.
 
Ungemwambia siwezi kukukopesha kwa sababu huwa hulipi deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…