LGE2024 Karne hii ya teknolojia bado Sifa kuu ya Viongozi wa Vijiji, Vitongoji na Mitaa ni Kujua Kusoma na Kuandika?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hivi ni kweli Sifa kuu ya kachaguliwa kuwa Kiongozi wa Kitongoji, Kijiji na Serikali ya Mtaa ni Kujua Kusoma na Kuandika Kiswahili au English?

Nauliza tena ni kweli au Lisu amechapia tu

Nimekaa pale 🐼🐼
 
Ni Kweli, Mtu yeyote mwenye sifa ya kuchagua [kupiga kura] ana sifa ya kuchaguliwa [Kupigiwa kura]
 
Back
Top Bottom