Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Karoline leavitt mwenye aliyeteuliwa na Trump kuwa msemaji wa Ikulu ya Marekani katika utawala wake wa awamu ya pili ameweka rekodi ya kuwa msemaji mdogo zaidi katika nafasi hiyo.
Soma: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%
Karoline mwenye miaka 27, ameolewa na babu tajiri wa miaka 60 na wana mtoto mmoja kwa pamoja, pia ni MAGA lia lia, alisitisha kwenda likizo ya uzazi baada ya Trump kukoswa na risasi ili amfanyie kampeni.