Mahesabu ya Trump na Marekani wengi hawajayajua. Mkija kushtuka mtakuwa mmechelewa saana.Karoline leavitt mwenye aliyeteuliwa na Trump kuwa msemaji wa Ikulu ya Marekani katika utawala wake wa awamu ya pili ameweka rekodi ya kuwa msemaji mdogo zaidi katika nafasi hiyo.
Karoline mwenye miaka 27, ameolewa na babu tajiri wa miaka 60 na wana mtoto mmoja kwa pamoja, pia ni MAGA lia lia, alisitisha kwenda likizo ya uzazi baada ya Trump kukoswa na risasi ili amfanyie kampeni.
View attachment 3217332